Thursday, April 21, 2016

MAJARIBIO

bado naendelea kutengeneza ila blog hii itakuwa na
1. matangazo ya biashara kwa wajumbe wa myu tuu
2. matangazo
3. taarifa ambazo sio za siri kwa wajumbe na watu wengine
4. picha kwa ajili ya matukio mbalimbali
5. habari hususani za mlandizi au wilaya ya kibaha pamoja na habari nyinginezo.
6. kutakuwa na developers zaid ya watano.


hii ndio kaanani,